Header Ads

Alicia Charles - Mimi ni Wako | Download Mp3 [New Gospel]

Kutoka Arusha Tanzania, Mgaza Media  leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Alicia Charles

ambaye ni mshindi wa sita kwenye mashindano ya Gospel Star Search(GSS) 2016 Mkoa wa Arusha

 na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Mimi Ni Wako ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Habari maalum Media iliyopo jijini Arusha.
gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu



kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili



wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Mimi Ni Wako na hakika utabarikiwa

sana. Karibu!!

Leave a Comment